Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Mahmoud Muhammed Mussa (kushoto) akiwa katika mazungumza na Mjumbe wa Kopru Mabingwa wa utengenezaji wa rangi kutoka Nchini Uturuki wenye Ofisi zake Jijini Dar es Salaam, ukiwa katika mazungumzo na Mstahiki Meya, yaliyofanyika katika ofisi za Meya Michezani Mall Jijini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment