Usione sipokei simu kama ukinipigia maana umeme hatuna na sina sehemu ya kwenda kuichaji hatuna umeme tokea Jumaane. Na…
Zanzibar Heroes imerudisha kipigo ilichopigwa na Kili Stars walichopigwa katika mchezo wa makundi baada ya kuwafunga nd…
Timu yetu ya Taifa, Zanzibar Heroes imetolewa katika mashindano ya Cecafa baada ya kufungwa 2-1 na timu ya taifa ya Ug…
Golikipa Mohamed Juma akipangua moja ya mikwaju ya Penelti Vijana wetu leo wameonesha ushujaa kama lilivyo jina lao ba…
AFISA WA TCAA TAMIRA RIAMI AKITOWA MAELEZO KWA WANAFUNZI WA SKULI YA KIMATAIFA YA MAZIZINI WALIPOTEMBELEA MNARA WA KUO…
AFISA WA TCAA KASSIM MUSSA ISMAIL AKIELEZEA JINSI YA KUONGOZA NDEGE KATIKA MNARA WA KUOGOZEA NDEGE ULIOPO UWANJA HAPO…
AFISA WA TCCA AKIELEZEA JINSI YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA KILA SIKU WAKATI KWA WANAFUNZI WALITEMBELEA KITENGO CHA KU…
KAIMU KATIBU MTENDAJI WA KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR ALI HALIL MIRZA AKIPANDISHA BENDERA KUASHIRIA KUZINDUWA SIKU YA…
KAIMU KATIBU MTENDAJI WA KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR ALI HALIL MIRZA AKITOWA HUTUBA YAKE KATIKA SHEREHE ZA KIMATAIF…
MENEJA WA TCCA ZANZIBAR SAID ALI AKITOWA UJUMBE WA SIKU YA KIMATAIFA YA USAFIRI WA ANGA (ICDA) JUU YA KAULI MBIU …
Beki wa Uganda, Andy Mwesigwa akiwania mpira dhidi ya Waziri Salum wa Zanzibar kwenye mchezo wa Kombe la Chalenji kweny…
CECAFA Cup 2009 Round Group C Date 04 dece 2009 Venue Mumias - Kenya (Mumias Sports Complex) Zanzibar Zanzibar Capital …
AFISA UHUSIANO WA BENKI YA NMB TANZANIA SHYROSE BANJI AKITOWA MAELEZO WAKATI WA UFUNGUZI WA TAWI JIPYA LA BENKI YA NMB…
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME, AKIMKABIDHI MPIRA MWANAFUNZI YUNUS KWA N…
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIMKABIDHI CHEKI MKUU WA MKOA WA MJINI M…
WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU DK. MWINYIHAJI MAKAME (KULIA) AKIBADILISHANA MAWAZO WA VIONGOZI WA NMB NJE YA TAWI…
MDAU WA HABARI FAROUK KARIM AKIDISKASI NA WAFANYAKAZI WA NMB KWA MSISITIZO.
WADAU HII NDIO NMB IKIJALI VIJANA KUJIENDELEZA KATIKA SEKTA YA MICHEZO MASKULINI NDIVYO INAVYOONEKANA WAKISEMA WANAFUN…
MDAU AKIJAZA FOMU ZA KUJIWEKEA AKIBA KATIKA TAWI JIPYA LA BANKI YA NMB ZANZIBAR. AKIBA NI MUHIMU KWA BAADAE MDAU NA WE…
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA BAADA YA WADAU WA BANKI YA NMB KUFUNGUWA TAWI LA BANKI HIYO ZANZIBAR MTAA WA DARAJANI, NA …
HIKI NDIO CHETI CHA MGONJWA AMBAPO KUMBUKUMBU ZOTE ZA DAKTARI PAMOJA NA DAWA HUWA ZINAWEKWA NA KUMUWEZESHA DAKTARI KUWE…
JENGO LA ZSTC - ZANZIBAR STATE TRADING CORPORATION LILIOPO KINAZINI. TUNAJITAHIDI SI HABA JENGO LA MFUKO WA HIFADHI Y…
KWENYE MAKUTANO YA BARA BARA YA KWENDA UWANJA WA NDEGE WA ZAMANI NA MPYA NA KUELEKEA MOMBASA NA KWA MCHINA
NILIYAKUTA YAKISUBIRI KUKAUKA ILI YATUMIKE KATIKA SHUGHULI YA KUKAUSHA VYYNGU VYA UDONGO HAPO MITAA YA KIEMBESAMAKI.
Samahani picha hazikutoka vizuri kamera flash ilikuwa ina kwikwi kidogo. Hata hivyo tunawasilisha.
Niliwanasa katika mechi kali ya wapinzani wawili kati ya Rio na ya pili jina kidogo limenitoka katika uwanja wa kimatai…
KUNA MCHIZI MMOJA ( KWA WENYEJI WA SEHEMU HII WANAWEZA KUTUPA JINA) KAZI YAKE NI KURUSHA CHUPA NA GALONI ZA PLASTIKI …
Na Ashura M Hamad Nipo tena kwenye safu yako azizi ili kuokoa malezi yetu ya asili yaliyogubikwa na wigo wa utandawazi…
Anaitwa Masoud Chile anafanya kazi hii peku peku bila ya gloves wala nini anadai mafuta ya taa ndiyo kiboko ya kila md…
Kwa wanaotaka kuanzisha tovuti hawa ni ndugu zenu wana service za kimataifa tena kwa bei rahisi sana. Bei zao ni karibu…
Ubuyu ambao nnaamini kwamba kama kuna watakaochangamka wanaweza kufanya biashara nzuri ya kuexport nje ya nchi na kupa…
KWA WENGI WALIOBAHATIKA KUSOMA HAPA HII NI SHULE ILIYOBEBA HADHI YA KIPEKEE. KATIKA MIAKA YAKE KILA MWANAFUNZI ALIK…
Nilikuwa nje ya kisiwa cha marashi ya karafuu siku nyingi na niliporudi kwa likizo nikabahatika kupanda daladala. Dalad…
WANANAFUNZI WA SKULI YA HAILE-SALASIE WAKIFANYA MTIHANI WA KIDATU CHA NNE WA TAIFA, JUMLA YA WANAFUNZI 351, 958 WANAFAN…
WANAFUNZI WA SKULI YA BUBUBU WAKIFANYA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATU CHA NNE ULIANZA LEO JUMLA YA WANAFUNZI 351,958 WANAF…
WANAFUNZI WA KIDATU CHA NNE SKULI YA MWERA WAKIFANYA MTIHANI WA TAIFA WA KUMALIZA KIDATU CHA NNE KWENDA KIDATU CHA SIT…
MSANI WA MICHEZO YA KUIGIZA HALIKUNIKI AKITOWA BURUDANI KATIKA VIWANJA VYA SIKUKUU VYA MNAZI MMOJA
WAZAZI WAKIWANUNULIA TOYS WATOTO WAO IKIWA NI KUMBUKUMBU YA EID KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA.
MDAU AKIWA KATIKA VIWANJA VYA SIKUKUU WAKISUBIRI WATEJA WA VITU VYA KUCHEZEA WATOTO.
Tufuate Humu