Mhe. Shaaban Khamis Mloo, amefariki dunia, nyumbani kwake, mjini Zanzibar. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo leo saa 10.00 alasiri huko huko Zanzibar.Marehemu Mzee Mloo alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa CUF kwa miaka nane, kutoka 1992 hadi 2000 alipochukua nafasi ya umakamo mwenyekiti hadi alistaafu mwaka 2004. Yeye ndiye miongoni mwa waasisi wa Chama hiki
Air Tanzania Yatua Victoria Falls kwa Mara ya Kwanza, Yaongeza Safari
Zimbabwe
-
NDEGE ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) imefanya first touch down
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Victoria Falls, Zimbabwe, leo mchana
t...
4 hours ago
0 Comments