MWANAFUNZI RUWAIDA KHAMIS SHABAN AMBAYE NI MLEMAVU ASIYEONA AKIWA KATIKA CHUMBA CHA MITIHANI AKIFANYA MTIHANI WAKE WA KIDATU CHA SITA WA SOMO LA GENERAL STUDIES GS KATIKA SKULI YA HAILE SELLASIE JANA AKITUMIA MASHINE MAALUM KWA AJILI YA WATU WASIOONA ( BRAILLE ).
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
1 hour ago
0 Comments