KWA VIJANA WA KILEO WA .COM WATUNDU NA KOMPYUTA WANAJUA NINI WAKIFANYACHO KWA KUTUMIA PROGRAMU YA ADOBE PHOTO SHOP AMBAPO UNAWEZA KUBADILISHA PICHA UTAKAVYO. KWA HIVYO USIAMINI TU KILA UNACHOKIONA KWENYE MITANDAO NYENGINE HUWA ZIMECHAKACHULIWA.
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
0 Comments