Kuna mdau yeyote anaeweza kutupa data lini hasa wimbo huu ulianza kutumika na ikiwezekana mtunzi wake?
Kwa sababu kabla ya wimbo huu kutumika kulikuwa na wimbo wa taifa wa kisultani ambao ulikoma kupigwa mwaka 1964 lakini hadi leo ukienda you tube ndio unaotambulishwa kwamba ndio wimbo wa taifa wa Zanzibar. Angalia video hapa chini
Shule ya Brookside Academy yawaalika Mlimani City Pasaka
-
Na Mwandishi wetu.
Shule ya Msingi ya Brookside academy ya Kimara Suka Jijini Dar es Salaam,
ina waalika wakazi wa Jiji la Dare s Salaam kutembelea banda l...
2 minutes ago
0 Comments