6/recent/ticker-posts

RAIS KARUME AKIJIANDAA KURUDI KUTOKA NAMIBIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akiagana na Waziri wa Mazingira na Utalii wa nchini Namibia, MamaMitumbo Ndaitwa, wakati akirejea nchini Tanzania akitokea Namibia aliposhiriki mkutano wa siku mbili wa Nchi za SADC,akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo jana. Katikati ni Mke wa Rais Mama Shadya Karume.

Picha na Ramadhan Othman, Namibia

Post a Comment

0 Comments