6/recent/ticker-posts

UNYANYASAJI WA WANYAMA



Unyanyasaji wa Wanyama kwa baadhi ya wananchi wanavyowachukuwa wanyama hawa kutoka sehemu moja na kuwepeleka sehemu nyengine kama walivyokutwa vijana hawa wakiwaweka mbuzi katika pakacha, wakiwa mbuzi wawili kila pakacha wakiwa katika mtaa wa Darazjani.

Post a Comment

0 Comments