MGOMBEA Uwakilishi wa Mji Mkongwe Simai Mohammed Said akitangaza mkutano wake kwa staili yake kwa kutumia Kibajaji akipita mitaani katika maeneo ya jimbo lake.
MGOMBEA uwakilishi Mji Mkongwe akitangaza mkutano wake wa kampeni katika mitaa ya Marikiti kuu Darajani. MGOMBEA Uwakilishi wa Mji Mkongwe Simai Mohammed Said akitangazia mkutano wake wa kampeni leo ambao utafanyika kiwanja cha mapembeani Muembetanga.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments