MGOMBEA Urais kupitia Chama cha CUF Seif Sharif Hamad akihutubia katika Mkutano wa kufunga kampeni ya chama chake uliofanyika kiwanja cha KMKM Maisara.
WANACHAMA wa CUF wakishangilia kwa kucheza katika mkutano wa kufunga kampeni ya chama hicho.
WANACHAMAwa CUF wakiwa katika maandamano wakirudi katika mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika kiwanja cha KMKM Maisara. WANACHAMA wa CUF wakiwa na sare yao ya chama chao wakienda mkutanoni.
0 Comments