6/recent/ticker-posts

MSHIKAKI HUO

MPANDA Vespa akiwa amepakia abiria zaidi ya mmoja kwa lugha ya sasa inaitwa mshikaki wakiwa bila ya helmet wakikata mitaa ya michezani, bila ya kujali usalama wao endapo kutatokea ajali.

Post a Comment

0 Comments