
WAHESABU kura wa kituo cha Skuli ya Ben Bella waendelea na zoezi hilo kituoni hapo.

WAHESABU Kura wa Kituo cha Skuli ya Tumekuja wakiendelea na zoezi la kuhesabu kura kituoni hapo.

WAANGALIZI wa Kimataifa wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakishuhudia zoezi la kuhesabu kura katika kituo cha Skuli ya Tumekuja likiendelea.

AFISA wa Tume yac Uchaguzi wa Kituo cha Kupigia kura cha Skuli ya Tumekuja akikata sildi kuanza kuhesabu kura kituoni hapo.


AFISA Tume ya Uchaguzi wa Kituo cha Kupigia Kura cha Malindi akiwaonesha Mawakala kura katika zoezi la kuhesabu likiendelea.
0 Comments