6/recent/ticker-posts

DK SHEIN AKILA KIAPO


Rais mteule Dk Ali Mohammed Shein akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud huku akishuhudiwa na Rais anayemaliza muda wake Dk  Amaan Abeid Karume

Viongozi wa kidini walikuwepo

Wakikabidhiana majukumu
Marais wakiteta

Post a Comment

0 Comments