RAIS mteule akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud alipowasili Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kuapishwa leo asubuhi
Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud akimuongoza Rais mteule Dk Ali Mohammed Shein Kuelekea eneo la kumuapisha
Rais Mstaafu Abeid Amaan Karume akipokea gwaride la kumuaga pamoja na mizinga 21 ikiwa ni kuashiria kumaliza kipindi chake cha uongozi
Hichi ndicho kiriri kilichoshuhudia kuapishwa kwa Rais mpya
0 Comments