6/recent/ticker-posts

DK SHEIN KUAPISHWA KESHO 03/11/10

RAIS mteule Dk Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuapishwa kesho tarehe 3/11/10 katika sherehe zitakazofanyika katika kiwanja cha Amaan kuanzia saa 3 asubuhi.

Pichani ni matayarisho ya sehemu itakayotumika katika sherehe hiyo kama ilivyopigwa picha hii leo

Post a Comment

0 Comments