Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na utawala Bora, Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa katika utaratibu wake wa kuzungumza na kila wizara.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
BURIANI JENISTA MHAGAMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Mongella, wakitoa heshima za mwisho
kuaga m...
19 hours ago
0 Comments