Hawa vijana katika mji mmoja nchini Uingereza wanajidai wanasali wakiwa na Imam wa theluji waliemtengeneza wao wenyewe na kisha kumfuata wakiwa katika tashahhud (attahiyyaatu).Wengine wakionesha nyuso za tabasamu huku 'wanasali'
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
9 hours ago

4 Comments
wambiye wachezee walikotoka wasichezee dini limbukeni wa theliji
ReplyDeletehawakusoma dini yao ndiyo maana wanafanya thihaki kama hawana chakuchezeya wakawafunuwe mama zao wawachezee pumbavu
ReplyDeletekwa kuwa mko ulaya ndio mnaona mungu hayupo ama !!! sio nyinyi wa kwanza kufika huko !! chezee ma..v...zi sio mungu watovu wa adabu nyie
ReplyDeleteNyie bwana hamwajuwi hawa wahindi wa uk wao ndo wa mwanzo wanojenga miskiti kila pahala uk na wao ndo wanajifanya waislam wenye msimamo mkali, lakini huwezi amini unaweza kuingia mskitini ukamuona mtu kakaa nyumba ya imamu yaani (maamuma) kisha kavaa bonge la cheni na katoboa maskio yote mawili kavaa na herini, na hao hao ndo wenye maduka makubwa ya pombe, sasa apo jiulize wewe uislam uko wapi? ukipata jibu bas utapata jibu la uyo snow imam.
ReplyDelete