Mzigo wa mananasi yakiwa katika mnada katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi "B" kama yanavyoonekana yakiwa katika mafungi kwa ajili ya kupigwa mnada, fungu moja la mananasi yakiwa kumi likiuzwa kati ya shilingi elfu ishirini na tano na kumi na siti katika mnada huo.




0 Comments