Ukumbi wa Nkrumah ulivyofurika kumsikiliza Dr Bilal Philips ambapo washiriki wa kike na kiume kutoka dini zote walialikwa.
Akinamama wakiwa katika sehemu waliyotengewa wakiendelea kusikiliza Muhadhara
Tarehe 24 -12 -2010 alikuwepo Chuo Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar na kutoa mada “Common Misunderstandings about Islam and Muslims”
Tarehe 20-12-2010 alikuwepo Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro na alitoa Mada “Role of Muslim Universities in a Competitive World”
Huu ndio Muhaadhara wa kwanza uliofanyika 18-12-2010 Chuo Kikuu Dar kwenye Ukumbi wa Nkrumah na Mada ilikuwa "Common Misunderstandings about Islam and Muslims”
Kwa taarifa kamili ingia katika kiungo hapa chini
http://islamiconlineuniversity.com/news-detail.php?newsid=12
WATAALAM WA USTAWI JAMII WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
-
Na. OWM- KAM
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Rahma
Kisuo amewataka wataalamu na wadau wa Ustawi wa Jamii kufanya kazi kw...
5 minutes ago





0 Comments