KUNA baadhi ya Wananchi wanakiuka sheria ya kuhifadhi mazingira ya maeneo yao na kusababisha uharibifu wa mazingira kama kulivyokutwa na mzee wa blog eneo la nyuma ya uwanja wa amani makazi ya wananchi kukiwa kumechimbwa mchanga na kuiweka katika hali ya hatari nguzo ya umeme ilioko karibu na sehemu hiyo.
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
7 hours ago
0 Comments