6/recent/ticker-posts

MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU (UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION) CHUKWANI

 WAHITIMU wa Chuo kikuu cha Elimu Chuklwani wakisoma majina yao katika orodha ya Wahitimu wanaokabidhi shahada zao baada ya kumaliza masomo yao
 WAHITIMU  wa somo la Lugha ya Kiarabu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao wakati wa mahafali ya chuo hicho
 BAADHI ya Walimu wa Chuo cha Kikuu cha Elimu Chukwani wakishuhudia mahafali ya chuo hicho
 WAGENI  na baadhi ya Mawaziri na Mabalozi waalikwa wakifuatilia sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliofanyika chuoni hapo Chukwani
WANAFUNZI  wa Chuo Cha Elimu Chukwani wakionesha  mchezo wakati  wa  Mahafali hayo chuoni hapo


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisoma kitabu cha ratiba ya mahafali ya chuo hicho.
 MWENYEKITI wa Baraza la Chuo Dk. Abdurrahaman  Al- Muhilani  akitowa maelezo mafupi juu ya mahafali hayo
MAKAMU Mwenyekiti  Profesa Mahdi Satt kutoka Sudan akitowa nasaha zake kwa Wahitimu wa Chuo hicho.
BAADHI ya wanafunzi wa na Wageni walioalikwa kuhudhuria  mahafali ya chuo hicho leo

Post a Comment

0 Comments