6/recent/ticker-posts

MAREKANI YAMHUKUMU GHAILANI KIFUNGO CHA MAISHA

Ahmed Khalfan Ghailani amehukumiwa kifungo cha maisha na Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi yake Lewis A Kaplan leo asubuhi.

Licha ya kutiwa hatiani na kosa moja tu kati ya makosa 281 aliyoshtakiwa Jaji aliridhika na kitendo chake kilikuwa cha hatari na hivyo kutoa hukumu hii nzito ambayo haina nafasi ya kuombewa msamaha wala kupunguziwa adhabu yake.

Kwa maelezo zaidi ingia katika kiungo hapa chini cha gazeti la New York Times

http://feeds.nytimes.com/click.phdo?i=ee7d67f0f0a333f850852f7e8d32951a

Post a Comment

0 Comments