Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,(wa tano kulia)akishiriki katika kumsalia Marehemu Maalim Rajab Mgeni katika msikiti wa Mwembe shauri na kuzikwa jana Mangapwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akitia udongo katika kaburi,wakati wa maziko ya Marehemu Maalim Rajab Mgeni yaliyofanyika jana kijijini kwao Mangapwani Wilaya ya kaskazini B Unguja
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments