BAADHI ya Vijana waliomaliza skuli kidatu cha Nne hawakubahatika kuendelea kidatu cha Sita kutokana na kutofaulu masomo yao kuwa na maksi (alama) kidogo wakijaza Fomu za kuomba kufanya Mtihani wa Kidatu cha Nne wakijaza fomu ili kuzituma kwa nja ya Posta wakiwa katika Posta ya Shangani wakijaza fomu hizo.
Naibu Waziri aipongeza hospitali ya E.M kwa uwekezaji wa CT SCAN
-
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi amewataka watanzania kuwekeza
kwenye miundombinu ya afya ili kusogeza huduma za matibabu karibu ...
21 minutes ago
0 Comments