MKURUGENZI wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar DJ. Yussuf akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Nje na Ndani jinsi ya kukamilika kwa taratibu zote za tamasha hilo na kuvitaja vikundi vitakavyoshirika kwa mwaka huu, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mansoon Forodhani.
MENEJA wa Kampuni ya Simu za Mikononi Zanzibar ZANTEL Nahaat Mahfoudh. akitowa maelezo juu ya kampuni yao kuwa wadhamini wakubwa wa Tamasha hili na jinsi walivyofanikisha udhamini wao, wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
3 hours ago
0 Comments