Taarifa nilizozipata timu yetu ya Ocean View imelala kwa goli 3-0 na A S Vita ya Wakongo na hivyo kuaga mashindano kwa jumla ya 4-1 baada ya kulazimisha sare katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
4 hours ago
0 Comments