WANANCHI wakiangali ajali iliotokea maeneo ya makutano ya barabara ya Michezani na Gymkhana, ajali hiyo kwa mujibu wa mashuhuda dereva wa gari hiyo la kubebea maji lenye namba za usajili Z 547 BL alimkwepa mtoto akiendesha baskeli huku akitembea na ringi moja imekuwa ni mchezo wa kawaida kwa watoto kufanya michezo hiyo barabarani bila ya kujali madhara ya ajali kwao na kwa watu wengine wanaotumia barabara.
WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI.
-
Dkt. Edith Rwiza Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akiongea na Wajumbe wa Baraza
la Tatu...
51 minutes ago
0 Comments