Kipi ni kiswahili sanifu katika kuandika neno MUEMBE au MWEMBE kama kwenye mitaa ni Muembe ladu ai Mwembeladu, Muembe Madema au Mwembe Madema, Muembe Beni au Mwembe Beni, Muembe Makumbi au Mwembe Makumbi?
Nadhani katika kutamka hakuna matatizo ila kwenye uandishi.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
2 hours ago
0 Comments