Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Fatma Gharib Bilal,kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu
TAFORI YAONGOZA HATUA ZA UANZISHWAJI WA JUKWAA LA WADAU WA UYOGA TANZANIA
-
Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kwa kushirikiana na Shirika
la ADAP (Association for the Development of Protected Areas) imeongoza
hatua z...
1 hour ago
0 Comments