Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad alipokuwa akirudi katika kijiji cha Kipangani Wete Pemba alikokwenda kutoa mkono wa pole kwa wafiwa, ikiwa ni hatua ya kushiriki shughuli za kijamii
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments