Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Am,ali Zanzibar Ramadhani Abdalla Shaban,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Chuo Cha Kiislam Mazizini baada ya kuizindua.
Baadhi ya Walimu wa Chuo cha Kiislam Mazizini wakimsikiliza Waziri wa Elimu akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Bodi ya Chuo hicho.
Walimu na Wanafunzi wakifuatilia hutuba ya Chuo ikisomwa na Mwalim Dk. Khamis Mbae.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhani Abdalla Shaban, akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Bodi na Walimu wa Chuo cha Kiislam Mazizini, baada ya kuizinduwa Bodi yao
Wajumbe wa Bodi Juma Abdalla Hamad, Mwanaate Juma Shaban na Dk. Hemed Rashid HickmanyDk. Khamis Mbae, akisoma Historia ya Chuo cha Kiislam Mazizini katika sherehe za kuzinduwa Bodi ya Chuo iliofanyika katika Viwanja vya Chuo hicho Mazizini.
Baadhi ya Wananchi na Walimu wa Chuo cha Kiislam wakimsikiliza Waziri wa Elimu akitowa nasaha zake katika sherehe za Uzinduzi wa Bodi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhani Abdalla Shaban.akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Bodi na Walimu wa Chuo cha Kiislam baada ya kuzinduwa Bodi hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kiislam Dk. Issa Haji Ziddy, akitowa shukrani kwa niaba ya Bodi hiyo baada ya Kuzinduliwa na Waziri wa Elimu Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Kiislam Mazizini Dk.Muhyiddin Ahmed Khamis, akitowa maelezo ya malengo ya Chuo hicho kwa Wajumbe wa Bodi, katika sherehe za kuzinduwa bodi hiyo iliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Mazizini.
0 Comments