Zanzibar yazidi kuvutia kila siku zikienda kwa mabadiliko ya majengo mbalimbali katika mitaa yake kama inavyoonekana eneo la Mlandege pichani.