Baadhi ya Watu hufanya uharibifu wa makusudi kuharibu, bla ya kujali athari yake kwa watumiaji wa barabara kwa kutowa vyuma vya kukingia ukingo wa barabara, kama inavyoonekana sehemu hii vyuma vyake vimetolewa na kuwachwa hali kama hii. huku ni kujenga au kuharibu.?
I&M YAPANUA UWEKEZAJI SEKTA YA FEDHA, YAFUNGUA TAWI JIPYA DAR
-
Benki ya I&M imeendelea kupanua uwekezaji wake katika sekta ya fedha baada
ya kufungua rasmi tawi lake la tisa katika eneo la Palm Village, Mikocheni
jijin...
1 hour ago
0 Comments