Mwakilishi wa Jimbo la Bububu wa Chama cha Mapinduzi Salum Ali Mtondoo, amefari dunia leo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi ICU,
Taarifa iliotolewa na Spika wa Baraza la Wawakilishi wakati akifunguwa Mkutano wa Uvuvi katika hoteli ya Zanzibar Beach, na kutoa taarifa hiyo.
Amewataka Wanafamilia na Jamaa zake kuwa na moyo wa Subira kwa pendo la ndugu yao huyo mpenda kwa kuwa kuondoka kwake ni pengo lakini muda umeshafika hakuwa na kulizui.Pia amesema Mhe Salum ameacha pengo katika Baraza la Wawakilishi na kwa Wananchi wa Jimbo lake la Bububu, amewataka kuwa na Subra.
Amesema Taratibu zote za mazishi zinatayarishwa, aytapelekwa katika ukumbi wa bara kwa kuuaga mwili wa marehemu na kuusomea dua kabla ya kuupeleka kijiji kwao Bumbwini kwa mazishi.
KAMATI YA BUNGE YA SHERIA YATEMBELEA KONGANI YA BUZWAGI NA KUPONGEZA
BARRICK KWA KUFUNGA MGODI KITAALAMU
-
Wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria
wakitembelea maeneo mbalimbali walipofanya ziara ya kikazi ya kujionea
maendeleo ya ...
1 hour ago
0 Comments