6/recent/ticker-posts

Dk Shein Akutana na Uongozi wa Wafanyabiashara, Wenye viwanda na Wakulima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa pili kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments