6/recent/ticker-posts

Maalim Seif Akutana na Mwakilishi wa Kituo cha Africa 24


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na mwandishi wa habari wa kituo cha Radio na Televisheni cha Africa 24 bibi Camille Thomas aliyefika nyumbani kwake Maisara kwa ajili ya kuzungumza nae.

Picha na Salmin Said OMKR

Post a Comment

0 Comments