Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar akiwa katika kizuizi cha geti kuzuiya gari kuingia kupaki katika eneo la mkunazini inabidi kuegesha magari katika eneo hilo ni shilingi 500/= ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo la mkunazini.
GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia ma...
4 hours ago
0 Comments