KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Saleh Mohammed Jidawi (kushoto) akitia saini na Mwenyekiti wa Taasisi ya (HIPZ) Dk.Ruaraidh Macdonagh, Makubaliano ya Mradi wa Kuimarisha Huduma ya Afya Zanzibar kupitia taasisi hiyo ya (HIPZ) kutoa huduma katika hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA
MSINGI YA ELIMU BORA - PROF. SHEMDOE
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe
amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea
kusimamia ub...
5 hours ago
0 Comments