Katibu Mkuu wa Wizra ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Dk.Vuai Iddi Lila akitia Saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Msaidizi Meneja wa Kampuni ya SOGEA ya Ufaransa kanda ya Afrika Mashariki Laurent Brouet kwa ajili ya Ujenzi wa Maegesho na Utanuzi wa Barabara ya kutulia na kurukia Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, utiaji wa saini huo umefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar.(Picha na Talib Ussi Maelezo Zanzibar)
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
2 minutes ago
0 Comments