MKURUGENZI wa Baraza la Manispaa Zanzibar, Rashid Ali Juma (kulia), akitia saini mkataba wa ujenzi wa taa za barabarani katika mji wa Zanzibar na mwakilishi kutoka Serikali ya Jamhuri ya watu wa China, Xie Dan.Mkataba huo ulitiwa saini makao makuu ya Baraza hilo Malindi mjini Zanzibar jana.(Picha na Ghaitha Mzee).
Walimu 150 wa amali kukwea pipa kwenda India kesho
-
Na Mwandishi Wetu
WALIMU 150 wa amali kwenye shule za serikali wanaondoka Jumapili kwenda
nchini India kwa mafunzo maalum ya amali ambayo yatawawezesha kuo...
9 minutes ago
0 Comments