Mfanyabiashara wa matunda katika soko la mwanakwerekwe akipanga matunda ya aina ya machungwa ikiwa msimu wake ukipamba moto na kuuzwa kwa vungu shilingi 500/= kwa fungu katika soko hilo.
WAZIRI NANAUKA -SERIKALI ITAENDELEA KUVIPA KIPAUMBELE VIKUNDI
VINAVYOREJESHA MIKOPO
-
Na Oscar Assenga,Muheza, Tanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Maendeleo ya Vijana, Joel
Nanauka amesema serikali itaendelea kuvipa kipaumbe...
1 hour ago
0 Comments