MKURUGENZI wa Taasisi ya Kiswahili na lugha za Kigeni Zanzibar (TAKILUKI), Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) akimkabidhi cheti, Hawaa Rajab mkufunzi wa somo la kijerumani chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) baada ya kumaliza mafunzo ya siku tano ya utayarishaji wa vifaa vya kufundishia Kiswahili kwa wageni yaliyofanyika chuoni hapo Vuga mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
11 hours ago
0 Comments