AFISA Uhusiano wa PPF Anthony Mtaka (kushoto) akimkabidhi seti za jezi, Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Pereira Ame Silima, kwa ajili ya timu za jimbo lake ili kudumisha michezo kwa Vijana wa jimbo hilo, wakati wa mchezo wa Fainal wa Kombe la Mbunge, makabidhiano hayo yamefanyika katika uwanja wa mpira wa Avyenja Chumbuni.
NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS -UTUMISHI ARIDHISHWA UTEKELEZJI MIRADI YA TASAF
-
Na Mwandishi Wetu, Karatu.
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Regina Qwaray, ameonyesha
kuridhishwa na utekelezaji wa miradi iliyojengwa na Mfuko wa...
36 minutes ago
0 Comments