6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar Azinduwa Mtandao wa Internet wa 3G wa Kampuni ya Zantel Zanzibar.



  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort , akiwa na Mkurukenzi Mtendaji wa Zantel Ali Bin Jarsh, wakielekea ukumbi wa mkutano wa Uzinduzi wa Mtandao mpya wa Internet wa Zantel.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel Ali Bin Jarsh, wakizinduwa Mtanda wa Internet katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, kulia kwa Rais Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Issa Gavu na Chief Commercial Officer  wa Zantel Tanzania Ahmed  Mokhles.   


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia, katika mkutano wa Uzinduzi wa mtandao wa Internet wa 3G, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.     
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel Ali Bin Jarsh, akitowa maelezo ya mafupi katika uzinduzi huo kwa Rais wa Zanzibar.
Chief Commercial Officer Ahmed Mokhles akizungumza katika Mkutano huo wa Uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.






Wasanii wa kikundi cha Waowao wakitumbuiza katika uzinduzi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kampuni ya Simu ya Zantel , baada ya  uzinduzi huo.

Post a Comment

0 Comments