Mfanyabiashara ya Matunda ya madoriani akitembeza katika mitaa ya Mtendeni mjini Dar-es- Salaam, doriani moja huuza katika ya shilingi 2000/ - na 5000/. inategemea ukubwa wake.
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
2 hours ago
0 Comments