Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (wa pili kushoto) wakati walipokutana katika hafla ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil kwa viongozi waliohudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil. Picha na- OMR
DC Ilala Aagiza Polisi Kuwakamata Wauaji wa Salehe Iddi Salehe
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameliagiza Jeshi la Polisi Wilaya
ya Kipolisi Ilala, kupitia Kamanda wake ACP Yustino Mgonja, kuhakikisha
lina...
12 hours ago

0 Comments