KATIBU wa Kamati ya Central Taifa Abdullah Thabit (kulia), akikabidhi kikombe cha ubingwa wa Ligi ya Central Wilaya ya Mjini kwa nahodha wa timu ya Shangani FC iliyofanikiwa kutwaa ubingwa huo kwa kuifunga New Generation mabao 2-0 mwishOni mwa wiki kwenye uwanja wa Mao Dzedong. (Picha kwa hisani ya Kamati ya Central Mjini).
MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA MAJI 2026
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi ametoa wito kwa Mamlaka zinazohusika pamoja na Watanzania kwa
ujumla kuw...
9 hours ago
0 Comments