Mafundi wa Idara ya Ujenzi na Utuzaji wa Barabara Zanzibar wakiweka matuta katika moja ya barabara ya Mwera Dunga ili kupunguza ajili kwa Wanafunzu wa Skuli ya Dunga wanapokatisha barabara wakati wa kutoka skuli na kuweza madereva kupunguza mwendo wakifika katika eneo hilo ambalo husababisha ajali kwa wanafunzi wanapokatisha barabara.
WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸
-
*Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu
masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha
Ufu...
1 hour ago
0 Comments