Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja, wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
Baadhi ya akina mama wa Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,(katikati) akijumuika na akinamamawa wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Chakula cha Futari iliyoandaliwa kwa wananchi hao na Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika
viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiitikia dua na Viongozi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana iliyoombwa na Mufti wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya futari iliyofanyika katika Viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kufutari
nao pamoja jana katika futari aliyowaandalia huko Viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamija Tunguu Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akijumuika na wananchi pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari,
aliyowaandalia wananchi hao huko viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja jana
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
TMA JNIA YATOA ELIMU KWA JAMII KUADHIMISHA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI 2026
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Kituo cha Hali ya Hewa cha Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), im...
1 hour ago
0 Comments