Watoto wakicheza katika eneo maalum la watoto lilotengwa kwa ajili ya Pembea katika Bustani ya Forodhani ni moja ya Kivutio kwa watoto wanaofika katika bustani hiyo. hutozwa kiingilio cha shiliongi 1000/= kwa michezo yote iliomo humo.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MOSHI AANZA RASMI MAJUKUMU.
-
Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mhe. John Mapato
Meela,(Chui) ameanza rasmi majukumu yake baada ya kuwasili ofisini kwa mara
ya kwanza t...
13 minutes ago
0 Comments